Habari za Punde

*KAMATI YA RAIS YA FIFA YAWEKA MAMBO HADHARANI

Mwenyekiti wa Kamati ya Rais ya FIFA, Dk Shukuru Kawambwa, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mikakati ya Kamati hiyo kuelekea mashindano ya Kombe la Dunia 2010, yanayotarajia kufanyika nchini Afrika ya Kusini. Kushoto ni Rais wa Shirikisho la Soka nchini, TFF, Leodga Tenga (kulia) ni Katibu Mkuu Mawasiliano, Florens Turuka. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.