Menu

Tuesday, December 22, 2009

*MAMA PINDA NA MSHINDI WA KISURA WA TANZANIA

Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda (katikati) akipiga picha ya kumbukumbu na kisura wa Tanzania na baadhi ya viongozi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Picha Zote na (SPM)

Warembo walioingia hatua ya tano bora wakipita jukwaani.

Tunu Pinda (kushoto) akipokea mfano wa hundi kwa ajili ya kumkabidhi mshindi wa shindano la Kisura tanzania.

Mama Pinda akisoma hotuba yake wakati wa shindano hilo.



No comments:

Post a Comment