
Miss Rwanda, Cynthia Akazuba, akipozi mbele ya gari lake mara baada ya kutangazwa mshindi wa shindano la kumsaka Miss East Africa 2009, lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam. Picha Zote na (SPM)

Dk. Kamala akiteta jambo na Cynthia wakati akikabidhiwa zawadi yake ya gari mara baada ya shindano hilo.

Mshindi wa kwanza, Cynthia Akazuba (katikati) akiwa na washindi wenzake, mara baada ya kutangazwa washindi.

Cynthia akipiga picha ya kumbukumbu na baadhi ya majaji wa shindano hilo na washindi wenzake.




Miss East Africa 2008, akiaga kabla ya kukabidhi taji.

Warembo watano walioingia hatua ya tano Bora.

Duh! ebwana eeeh kifaa hiki si mchezo babake taji ni haki yake si unachek?

5 Bora

Wasanii nao hawakuwa nyuma katika kutoa burudani kuhakikisha shindano hilo linafana kimtindo.

Waha ndiyo majaji wa shindano hilo wakiwa kazini, eti hata singa singa naye alikuwepo..

Mwakilishi wa Tanzania katika shindano hilo, Julieth William, akipita jukwaani na vazi la naniliu...

Kivazi cha ufukweni

Mshiriki wa shindano hilo, Miss Somaria, Asli Osman, akipita jukwaani na vazi la ufukweni.

Miss Tanzania aliyeshika nafasi ya tatu katika shindano hilo, Victoria Martine, akipita jukwaani na vazi la Ufukweni.

Msanii wa miondoko ya Bongo Flava, Mwacity, akishambulia jukwaa, katika shindano hilo.

Kivazi cha usiku babake

Cynthia akipita Jukwaani na vazi la ubunifu..

Miss Somaria, akipita Jukwaani na kivazi cha naniliuuuu.....

Victoria Martine, akipita jukwaani na vazi la nini vileeeeee....

Mambo ya Utamaduni haya si unamcheki anavyowakilisha??????

No comments:
Post a Comment