Rais wa Marekani, Barack Obama ametoa siku moja kwa Vyombo vya Usalama vya nchini humo kutoa maelezo ya kina na yanayojitosheleza, kueleza jinsi raia wa Nigeria, Umar Farouk Abdulmutallab alivyojaribu kutaka kulipua ndege ya Marekani, alivyoruhusiwa kuingia ndani ya ndege hiyo na njia alizopita bila kubugudhiwa na wanausalama. By http://www.bbcswahili.com/
SENEGAL, DRC NA BENIN NAZO ZOTE ZAFUZU 16 BORA AFCON
-
TIMU za Senegal, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Benin zimefuzu
Hatua ya 16 Bora Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 baada
ya me...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment