Rais wa Marekani, Barack Obama ametoa siku moja kwa Vyombo vya Usalama vya nchini humo kutoa maelezo ya kina na yanayojitosheleza, kueleza jinsi raia wa Nigeria, Umar Farouk Abdulmutallab alivyojaribu kutaka kulipua ndege ya Marekani, alivyoruhusiwa kuingia ndani ya ndege hiyo na njia alizopita bila kubugudhiwa na wanausalama. By http://www.bbcswahili.com/
No comments:
Post a Comment