Menu

Monday, December 28, 2009

*SERENGETI YAZINDUA KAMPENI YA 'SHANGILIA TAIFA STARS ISHINDE'

Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Bia ya Serengeti, Teddy Mapunda (katikati) akiwa na wachezaji wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Mrisho Ngassa (kushoto), Mussa Hassan ‘Mgosi’ (wapili Kulia) na Jerry Tegete, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya ‘Shangilia Taifa Stars ishinde’, iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Afisa Habawa TFF, Florian Kaijage. Picha na (SPM)

Kutoka (kushoto), Mgosi, Teddy Mapunda, Mrisho Ngassa na Jerry Tegete (katikati) akiwapozi kwa picha, wakati wa hafla hiyo.


Wote wakiwa bize na simu kila mmoja kivyake ,wakati wa hafla hiyo bila kujijua, wakanaswa na Sufianimafoto.


Teddy Mapunda akionyesha kadi watakazogaiwa mashabiki ili kuwapa wale wote wasioonyesha moyo wa kuishangilia timu ya Taifa Stars, pindi inapocheza uwanjani.


Wakipozi na Chui wa Serengeti.





No comments:

Post a Comment