Menu

Wednesday, December 23, 2009

*WANAYANGA KUMKUMBUKA SHABIKI WAO ASHA

Afisa Habari wa Timu ya Yanga ya Dar es Salaam, Luis Sendeu, akizungumza na waandishi wa habari jijini leo, kuhusu taratibu za msiba wa aliyekuwa shabiki wa timu hiyo Asha Naniliu aliyefariki majuzi. Hata hivyo timu hiyo kesho inashuka dimbani kumkabili Mnyama Simba katika michuano ya Kombe la Tusker hatua ya Nusu Fainali. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment