Menu

Thursday, January 7, 2010

*Daladala lanusurika kuua abiria Dar

Abiria wakitelemka katika gari la daladala linalofanya safari zake Mwananyamala-Kivukoni, ili kunusuru maisha yao baada ya gari hilo kukosa breki na kusimama kwenye mataa ya Sarenda na kuamua kupanda ukuta wa daraja hilo ili kurahisisha kusimama. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment