Menu

Thursday, January 7, 2010

*SERENGETI WAWAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO WABUNGE WANAOKWENDA KUSHIRIKI MAPINDUZI CUP

Mkawaonyeshe Baraza la wawakilishi kuwa mnaweza soka mrudi na ushindi huko...

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Joel Bendera (kushoto) akipokea msaada wa vifaa vya michezo kutoka kwa Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Serengeti, Teddy Mapunda kwa ajili ya timu ya wabunge (Bunge Sports Club) inayokwenda kushiri kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi kwa kucheza na timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, mchezo utakaochezwa January 12 mjini Pemba. Kulia ni Meneja wa Bidhaa, Nandi Mwiyombella. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment