Habari za Punde

*E'TOO NA CHAMA LAKE WATUA NCHINI KENYA

Duh! sijui nijibu nini hapaaaaaa!......Wakei wanachanga maneno.......
Mchezaji wa timu ya Taifa ya Cameroon, Samuel E’too, akiwa kwenye chumba cha habari wakati nchini Kenya, wakati akihojiwa mara baada ya timu yao kuwasali nchini humo kwa ajili ya mchezo wa kirafiki na Arambee Stars ya nchini humo.

E'too akipozi kwa picha na soka lake kwenye chumba cha habari, wakati akihojiwa.

E'too akijibu maswali.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.