Habari za Punde

*BAADA YA BANGO KUZALAULIKA SASA NI KIZUIZI, KUNANI?

Sasa wagonge la kizuizi hiki kama wanaweza, wabongo bwana yaani wanahisi kunakitu tunaficha huku nini mida hiyo ya saa 12 nini?.....

Wafanyakazi wa Ujenzi wakitengeneza Kizuizi kinachozuia magari kupita kwenye barabara ya Baharini kuelekea Kivukoni kupitia nyuma ya Ikulu Dar es Salaam, baada ya kugongwa kwa bango lililokuwa na Tangazo la kuzuia kupita njia hiyo nyakati za jioni kuanzia saa 12.





No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.