Habari za Punde

*LILIAN KUIWAKILISHA TANZANIA MASHINDANO YA FACE OF AFRICA.

"Nitajitahidi kuiwakilisha nchi yangu ipasavyo naahidi sitawaangusha Watanzania".....

Lilian akijibu maswali ya waandishi katika mkutano na waandishi wa habari.

Mkuu wa Idara ya Masoko wa Benki ya Stanbic, Abdalaah Singano (kushoto) akimkabidhi kitita cha fedha mshindi wa shindano la Droo ya ‘Conect Score and Win’ Sevelini Mtikila, kwa ajili ya kuelekea nchini Angola kushuhudia michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, kati ya Angola na Ghana. Katikati ni Meneja Mauzo wa Benki hiyo, Lilian Kitomari na mtoto wa mshindi huyo, Blayton Sevelini.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.