Habari za Punde

*MBOZI ERNEST WA TASWA FC, NAYE KAMA ESSIEN WA GHANA

Mchezaji wa Taswa Fc, Mbozi Ernest akiwa na Hogo (POP) alilowekewa baada ya kuvunjia akiwa katika mechi 'NDONDO' ya Chuo alichomaliza hivi karibuni. Mbozi atakaa nje takribani wiki sita (6) bila kucheza soka., Hapa katika picha tofatuti akitoka kwenye Uwanja wa Posta kuwacheki washkaji zake waliokuwa katika mazoezi ya timu yao ya Taswa leo asubuhi. Picha mojawapo ni rafiki yake wa karibu, wagambe mwenzie Moland (mwanafunzi) akimpa tafu.





No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.