Duh! sijui hawa machinga leo wamekimbilia wapi hata hawaonekani???
Askari Mgambo wa Manispaa ya Ilala, wakiwa wamekalia haya mananiliu yao,... eti marungu sijui hawasiki maumivu hawaaaaaa na sijui ni staili gani hii ya kukalia haya amananiliu tena kwa kusimamisha, eti wanakula mingo ya kuwatokea Machinga karibu kabisa na Soko la Mchikichini Ilala Dar es Salaam, kama walivyonaswa na Sufianimafoto.
Msiwasikilize wapotoshaji huu ndio ukweli ,TAZARA Mpya ni Muhimili wa Mapato
-
Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa uboreshaji wa reli ya TAZARA
kupitia mkataba wa kihistoria kati ya Tanzania, Zambia, na China, si tu
utaleta ma...
47 minutes ago
No comments:
Post a Comment