Duh! sijui hawa machinga leo wamekimbilia wapi hata hawaonekani???
Askari Mgambo wa Manispaa ya Ilala, wakiwa wamekalia haya mananiliu yao,... eti marungu sijui hawasiki maumivu hawaaaaaa na sijui ni staili gani hii ya kukalia haya amananiliu tena kwa kusimamisha, eti wanakula mingo ya kuwatokea Machinga karibu kabisa na Soko la Mchikichini Ilala Dar es Salaam, kama walivyonaswa na Sufianimafoto.
No comments:
Post a Comment