Jamani athari ya vita ni noma, na ikishakuathiri hata ukiwa mahala ukasikia chupa ya soda tu ikifunguliwa kwa fujo, we ni lazima uanze kujihami, na hata kwa wale ndugu zetu mnaopenda kale kamchezo ka kujambishana msiende Dar Fur, mkafanya kamchezo hako mnaweza kupigwa risasi bure. Hebu cklick PLAY ili ujionee jamaa waliokuwa katika starehe zao ghafla mwanamama akafungua chupa ya kinywaji kwa ghafla ujionee kilichotokea ukumbini humo, kumbe kila mmoja wao alikuwa na siraha, hebu cheki kasheshe hii.
Video Athari ya Vita Darfur
MISRI YATOKA NYUMA NA KUICHAPA ZIMBABWE 2-1
-
TIMU ya Misri imetoka nyuma na kushinda mabao 2-1 dhidi ya Zimbabwe katika
mchezo wa Kundi B Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) usiku wa
jana ...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment