Na Sufianimafoto Reporter
Ramadhan Nasibu leo ameibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa
shirikisho la Soka Tanzania TFF, kuziba nafasi ya Makamu wa pili wa
Rais Shirikisho hilo, kwa kumbwaga mpinzani wake John Nchimbi kwa kura
54 kwa 47, wakati wa uchaguzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam leo
katika Ukumbi wa Water Front.
Kwa hatua hiyo sasa Nasibu ataendelea kushikilia nafasi hiyo hadi baada
ya miaka mitatu (3), utakapofanyika uchaguzi mwingine.
Meya ‘Shetta’ kuja na goli la Meya
-
MEYA wa Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal ‘Shetta’, amesema milango ya
ofisi yake iko wazi kwa wasanii na wanamichezo kwa jambo lolote
linaliweza ku...
51 minutes ago
No comments:
Post a Comment