Na Sufianimafoto Reporter
Ramadhan Nasibu leo ameibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa
shirikisho la Soka Tanzania TFF, kuziba nafasi ya Makamu wa pili wa
Rais Shirikisho hilo, kwa kumbwaga mpinzani wake John Nchimbi kwa kura
54 kwa 47, wakati wa uchaguzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam leo
katika Ukumbi wa Water Front.
Kwa hatua hiyo sasa Nasibu ataendelea kushikilia nafasi hiyo hadi baada
ya miaka mitatu (3), utakapofanyika uchaguzi mwingine.
NAIBU WAZIRI MAKONDA AWASILI MOROCCO KUIPA MORALI TAIFA STARS
-
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda
amewasili nchini Morocco kwa lengo la kuipa nguvu na kuongeza morali kwa
Timu ya ...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment