Habari za Punde

*NMB YASAINI MKATABA MPYA NA TFF KUSAIDIA SOKA LA BONGO


Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Imani Kajula (kushoto) na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania, Fredrick Mwakalebela, wakitiliana saini mkataba wa udhamni wa Soka 2010 baada ya kumalizika kwa mkataba wa awali. Nyuma (katikati) ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Leonard Thadeo, (kulia) ni Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Marcio Maximo, (kushoto) ni Meneja Masoko wa benki hiyo, Shillah Senkoro.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.