Kuonyesha ni jinsi gani watanzania hatuzingatii matangazo, pamoja na kubandikwa Tangazo linalozuia kukaa kwenye eneo hili katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, lakini bado walionekana watu kukaa katika eneo hilo. Lakini pia hata wanaotoa matangazo hayo bado hawazingatii umuhimu Wa Tangazo kwa kuandika kwa umakini ili liweze kusomeka na kueleweka ambapo ni vigumu kwa mtu kusoma na kuelewa anachokisoma, jambo ambalo linaweza kuleta utata iwapo anaweza kukamatwa na kuulizwa iwapo hajaona tangazao hilo. Tanzazo hilo limeandika NI MARUKU KUKAA HAPA badala ya NI MARUFUKU KUAKAA HAPA.
ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KUMKATA VIDOLE MWANAFUNZI WA DARASA LA
NNE LUSHOTO
-
Na Oscar Assenga, LUSHOTO.
JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga linamshikilia Mkazi wa Welei wilayani Lushoto
mkoani Tanga Isaka Clement Ngulizi kwa kosa la ku...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment