Wakuu wa Polisi wakizungumza na askari wa kike wanaokwenda Sudani, wakati wa mkutano wa pamoja kabla ya kukabidhiwa Bendera.
Afisa Utawala wa Jeshi la Polisi SACP, Zuhura Munisi, (wa pili kushoto) akimkabidhi Bendera ya Taifa, Mkuu wa Msafara wa maaskari wa kike wanaokwenda nchini Sudan kulinda amanai, SP Hawa Luzy, (kushoto), Kulia ni ACP Adolfina Chialo, Hafla hiyo ya kukabidhi Bendera ilifanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya Askari hao wanaokwenda Sudan wakiwa makini kusikiliza yanayozungmzwa na wakubwa wao katika kikao hicho. Picha Zote na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi
No comments:
Post a Comment