Balozi wa Japan nchini, Hiroshi Nakagawa (kulia) akisainiana mkataba na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama kwa ajili ya kujenga mabweni mawili ya wasichana katika Shule ya Sekondari ya Baloha wilayani humo, wakati wa hafla fupi ya kutiliana saini mikataba mbalimbali ya maendeleo na wakurugenzi mbalimbali wa wilaya tofauti iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment