Mlezi wa Chama cha Wapigapicha za Habari Tanzania, Rais Jakaya Kikwete, akijaribu kupiga picha Ikulu Dar es Salaam jana kwa kutumia kamera ya mpiga picha wa Jambo Leo, Richard Mwaikenda (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa sherehe za kuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Malawi na makatibu tawala mkoa wanne.
TUTABORESHA BAJETI YA ELIMU – WAZIRI MKUU
-
▪️Asema Serikali itaimarisha vitengo vya tathmini na ufuatiliaji kila wizara
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuboresha
baje...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment