Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk Amani Abeid Karume, akisalimiana na Wazee wa Tumbatu mara baada ya kuwasili katika bandari ya Tumbatu, kuhudhia maulid ya kila mwaka ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W). iliyofanyika katika msikiti wa Ijumaa Tumbatu Gomani. Picha na Ramadhan Othman, Tumbatu.
No comments:
Post a Comment