Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk Amani Abeid Karume, akisalimiana na Wazee wa Tumbatu mara baada ya kuwasili katika bandari ya Tumbatu, kuhudhia maulid ya kila mwaka ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W). iliyofanyika katika msikiti wa Ijumaa Tumbatu Gomani. Picha na Ramadhan Othman, Tumbatu.
TBS YAENDELEZA UHAMASISHAJI WA VIWANGO KUPITIA SHINDANO LA INSHA
-
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa tuzo kwa washindi 10 wa shindano
la insha la viwango la mwaka 2024/2025, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya
Siku y...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment