Warizi wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo (katikati) akipokea sehemu ya msaada wa magodoro na branketi wenye thamani ya Sh. Milini 7.5, kutoka kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya Tanzania Toyota Limited, Hatim Karimjee, kwa ajili ya wananchi wa Kilosa waliokumbwa na mafuriko hivi karibuni. Hafla hiyo fupi ya makabidhiano hayo ilifanyika leo, Dar es Salaam.
RAIS DKT. MWINYI: SMZ INATHAMINI MCHANGO WA MAWAKILI KWA WANANCHI
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein
Ali Mwinyi, amekihakikishia Chama cha Mawakili Zanzibar kuwa Serikali
inathamini...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment