Habari za Punde

*JAKAYA ASAINI SHERIA YA MATUMIZI YA FEDHA ZA UCHAGUZI


Rais Jakaya Kikwete, akipiga picha ya kumbukumbu pamoja na baadhi ya wenyeviti, viongozi wa Vyama vya Siasa, na baadhi ya Mawaziri na viongozi wa Kamati za Bunge, wakati wa hafla ya kuweka saini Sheria ya matumizi ya gharama za fedha za uchaguzi iliyofanyika katika Viwanja Ikulu, Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.