Menu

Thursday, March 4, 2010

*MAJAMBAZI 17 WAKAMATWA DAR


Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, akionyesha Bastola na Baruti, wakati wa mkutano waandishi wa habari jana. Vifaa hivyo vya uhalifu vilitumiwa na majambazi hayo, ambapo jumla ya majambazi 17 walikamatwa pamoja na vifaa vingine vya kufanyia uharifu. Kulia ni Msaidizi wake ASP Mzavaz.

No comments:

Post a Comment