Habari za Punde

*MASHUJAA BAND WAENDELEA KUTESA DAR














Wanenguaji wa bendi ya Mashujaa, wakipozi kwa picha wakati wa muda wa mapumziko katika onyesho la bendi yao lililofanyika kwenye ukumbi wa New Msasani usiku wa kuamkia leo, ikiwa ni moja ya ratiba za wiki za bendi hiyo.














Mwimbaji wa bendi hiyo, Jado Fidifoce, akiimba jukwaani wakati wa onyesho hilo.














Mkaanga chips wa Mashujaa Band, Sele Kadance, akizicharaza Drams, wakati wa onyesho hilo.

"Hakuna kulala babake, hapa hadi kielewekeeeeeee"













Huyu si mwingine ni Mzee wa Full Shangwe, John Bukuku, akipandisha picha za burudani usiku huo mara baada ya kuhakiki nyuma ya screen ya kamera yake kwamba anapicha za kutosha kwa usiku huo, huku akiwa amezungukwa na warembo, Wanenguaji wa Mashujaa bendi katika Ukumbi wa New Msasani.













Rapa na mwimbaji wa Mashujaa, Ngosha Mwana Masanja, akishambulia jukwaa wakati wa onyesho la bendi hiyo.














Wanenguaji wa Mashujaa bendi, kutoka (kushoto) Neema Mkama, Pendo Bonzo na Sharon Mapozi, wakishambulia jukwaa kwa mbwembwe na staili yao ya Wamefulia na kuchinja Bata.













Ngosha Mwanamasanja, akishambulia jukwaa.















Ni stali ya Amefulia ikisherehesha Jukwaa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.