Habari za Punde

*THTU WAGOMEA MGOMO WA TUCTA WA MEI 5


Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU), Dk. Elifraha Mtalo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo wakati wa akitoa tamko la Taasisi hiyo ya kutounga mkono tamko lililotolewa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), kuhusu kuendesha mgomo wa wafanyakazi nchi nzima, Taasisi hiyo imefikia maamuzi hayo kwa kile ilichodai haikushirikishwa katika kutoa maamuzi kabla ya kutoa tamko hilo. Kushoto ni Kaimu Katibu wa Taasisi hiyo, Kulu Maswanya.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.