Pamoja na elimu inayotolewa kwa waendesha pikipiki wanaopakia abiria kuwavalisha kofia, bado zoezi hilo linaonekana kupuuzwa na madereva hao wa pikipki kama inavyoonekana pichani ni mkazi wa Wilaya ya Bagamoyo, ambaye hakupenda kutaja jina lake, akiwa na familia yake katika usafiri wa Pikipiki akitokea kijiji cha Makurunge kuelekea Bagamoyo mjini hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment