Menu

Friday, March 19, 2010

*SERENGETI YAKUTANA NA WADAU WAKE DAR, MKUTANO WAO WAFANA


Hii ni sehemu ya mapokezi ilivyokuwa imeandaliwa.

Wahudumu wa hafla hiyo, wakiwajibika kuwaandikisha wageni waliokuwa wakiingia kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Movern Pick kwenye mkutano huo.



Baadhi ya Wakurugenzi na Viongozi wa Bodi ya Kampuni ya Bia Serengeti, wakifuatilia kwa makini maoni yaliyokuwa yakitolewa na wadau wa Bia ya Srengeti ukumbini humo.




Meneja Mawasiliano na Matangazo wa Kampuni ya Bia Serengeti, Teddy Mapunda, akizungumza wakati wa Mkutano na wadau mbalimbli wa Serengeti wauzaji na wasambazaji, kujadili maendeleo ya Kampuni hiyo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi jioni. Katikati ni Mshauri wa Mauzo Serengeti, Peadar Hegarty na Segun Macaulay.




Mmoja kati ya wadau wakubwa wa Bia ya Serengeti, Joseph Malima, ambaye pia ni msambazaji wa bidhaa hiyo, maeneo ya Kurasini Dar es Salaam, akitoa maoni yake juu ya kuboresha huduma za wateja wa bidhaa hiyo hususan wasambazaji.






Msambazaji na muuzaji wa Bia ya Serengeti, Stellah Chabruma, akitoa maoni yake wakati wa mkutano huo.







Wadau mbali mbali, wasambazaji na wauzaji wa bia ya Serengeti wakiwa katika mkutano huo.








Baadhi ya wanamuziki wa Karunde Band, akipozi wakati wakisubiri kupanda jukwaani kutoa burudani wakati wa mkutano huo.
"Hapana safari hii tupo siriasi bwaaaana, lazima tuwafikie wateja na wadau wetu wote"








Meneja Mawasiliano na Matangazo wa Kampuni ya Bia Serengeti, Teddy Mapunda, (kulia akibadilishana mawazo na Mdau wa Serengeti, Mkurugenzi wa Rombo Green View Hotel, Alexender Kimario, wakati wa mkuatano huo.










Wanamuziki wa Karunde Band, wakiimba jukwaani kutoa burudani, wakati wa hafla ya mkutano huo.











Kiongozi wa Bendi ya Karunde, Deo Mwanambilimbi (wapili kulia) akiimba jukwaani sambamba na wanamuziki wake, wakati wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment