Menu

Thursday, March 18, 2010

UMEME MKUBWA KUKAMILIKA HIVI KARIBUNI DAR













Mafundi wa Kampuni ya ujenzi ya Mess, wakiendelea na kazi ya kufunga nyaya za umeme mkubwa wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Shekilango, Dar es Salaam jana, kuelekea Kanisa la Kakobe. Mhagale

No comments:

Post a Comment