Mafundi wa Kampuni ya ujenzi ya Mess, wakiendelea na kazi ya kufunga nyaya za umeme mkubwa wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Shekilango, Dar es Salaam jana, kuelekea Kanisa la Kakobe. Mhagale
Kilimo cha Mpunga chatajwa kuchochea maambukizi ya Malaria na Kchocho
Afrika.
-
Na: Calvin Gwabara – Morogoro.
Wataalamu wa afya na mazingira wameendelea kuonesha wasiwasi juu ya kuenea
kwa magonjwa ya malaria na kichocho barani Afr...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment