
Ebwana hili dume ni noma mazee!, hebu licheki hapa lipo chini ya ulinzi wa askari baada ya kukutwa likinaniliu na Meeeee, huko nchini Naniliu, Mdau chunga sana mijamaa kama hii isisogee kabisa karibu na home kwako, inaweka kukuharibia hata Kuku, Bata na mifugo yako yote.
No comments:
Post a Comment