Mama Salma Kikwete, akiwasalimia wananchi wa Arumeru nje ya jengo la mkuu wa wilaya ya Arumeru huko Usa river mkoani Arusha, wakati alipokuwa akiwasili mkoani humo leo mchana.
"Si mmenielewa jamaniiii"
Mama Salma Kikwete, akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Engarenanyuki mara baada ya kuwakabidhi vifaa mbalimbali vya hospitali kwa ajili ya kituo cha afya cha kijiji hicho leo mchana. Picha na JOHN LUKUWI-MAELEZO
No comments:
Post a Comment