Mshiriki wa Big Brother Africa, Tatiana Durao (katikati) akiwa na Meneja wake, Alice Mutumba (kulia) na Msaidizi wake, Ana Antonio, baada ya kumaliza mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, ambapo litangaza kuwa amefika nchini kwa ajili ya kurekodi kipindi chake kitakachokuwa kikirushwa na Kituo cha MNET , kiitwacho 'Every Body Loves Me'.
KRISMASI NI SIKUKUU YA AMANI: Mchungaji Hananja na Wananchi Walaani
Kuingiza Uanaharakati Kwenye Ibada
-
Kuelekea maadhimisho ya Sikukuu ya Krismasi, Mchungaji mstaafu wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Richard Hananja, ametoa wito mzito
kw...
57 minutes ago
No comments:
Post a Comment