Katibu mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni, akimkabidhi vitabu vya maabara za Sayansi, Mkuu wa shule za maabara za Sayansi, Muhimbili, Colman Msuya, wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika jijini Dar es salaam leo, kwa msaada wa Watu wa Marekani kusaidia shule na vyuo mbalimbali vya sayansi nchini.
MO ACHOURI APIGA MBILI TUNISIA YAICHAPA UGANDA 3-1 AFCON
-
TUNISIA imeanza vyema Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada
ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Uganda usiku wa kuamkia leo katika mchezo
wa K...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment