Menu

Tuesday, March 30, 2010

*WIZARA YA AFYA YAPOKEA MSAADA WA VITABU KUTOKA KWA WATU WA MAREKANI













Katibu mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni, akimkabidhi vitabu vya maabara za Sayansi, Mkuu wa shule za maabara za Sayansi, Muhimbili, Colman Msuya, wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika jijini Dar es salaam leo, kwa msaada wa Watu wa Marekani kusaidia shule na vyuo mbalimbali vya sayansi nchini.

No comments:

Post a Comment