Mafundi wa Kampuni ya ujenzi ya Mess, wakiendelea na kazi ya kufunga nyaya za umeme mkubwa wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Shekilango, Dar es Salaam jana, kuelekea Kanisa la Kakobe. Mhagale
Tume ya Uchunguzi yaongezewa muda tena hadi Aprili 24
-
Na Mwandishi Wetu.
*DODOMA* : MAMLAKA ya Uteuzi imeridhia maombi ya muda wa ziada kwa Tume ya
Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya ...
53 minutes ago
No comments:
Post a Comment