Habari za Punde

*KOVA AKAMATA MITAMBO YA GONGO, KIGOGO















Sehemu ya mitambo ya gongo iliyokamatwa Kigogo jijini Dar es Salaam, ikiwa kwenye chumba cha mkutano cha Polisi Kati, wakati wa mkutano na waandishi wa habari.











Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, akionyesha silaha aina ya MAG/IR 3396, iliyokamatwa maeneo ya Manzese na mitambo 8 ya kutengeneza pombe ya Gongo, iliyokamatwa maeneo ya Kigogo, wakati alipokuwa na mkutano na waandishi wa habari jijini leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.