Habari za Punde

*CHINA YATIOA MSAADA WA BASKELI, CHEREHANI NA MIPIRA KWA MKOA WA ARUSHA










Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Isidore Shirima (kulia) akipokea sehemu ya msaada wa baiskeli 10 mipira 20 na vyerehani 10, kutoka kwa Mwakilishi wa Balozi wa China nchini, Fu Jijun, wakati wa hafla hiyo fupi iliyofanyika jana kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Msaada huo uliotolewa kwa ajili ya kuboresha ushirikiano kati ya Tanzania na China, utapelekwa katika wilaya za Longido na Arumeru na maeneo ambayo inapita barabara ya Arusha –Namanga. Picha na Eliya Mbonea, Arusha

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.