Nahodha wa timu ya waendesha mashua ya Yacht Club Commodore, Spiros Manolouis (kushoto) akimkabidhi zawadi ya mpira mmoja wa watoto walioshinda katika mashindano ya Vodacom Closing Regatta 2010, Niels Sulzer, mara baada ya kumalizika kwa mashindano hayo yaliyofanyika Yacht Club,
Washiriki wakiwa baharini katika mashindano hayo.
Baadhi ya Mashua zilizoshiriki mashindano hayo zikiwa katikati ya maji Bahari ya Hindi, wakati wa mbio hizo.
Waendesha mashua wakichuana katika mashindano ya Vodacom Closing Regatta 2010, yaliyofanyika katika Bahari ya Hindi ‘Yatch Club’ mwishoni mwa wiki. Mashindano hayo yalidhaminiwa na Kampuni ya Simu za mkononi Vodacom na kushirikisha mashua mbalimbali za jijini.
No comments:
Post a Comment