
Mkurugenzi wa biashara za wateja binafsi wa Benki ya Barclays, Manoj Anchan, akizindua huduma mpya ya Premier Life yenye Visa Card nyeusi, inayomwezesha mteja wa Benki hiyo kupata huduma nchi yeyote.Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa biashara wa benki hiyo,David Lubira na Mkuu wa Premier Life,William Mungai.
No comments:
Post a Comment