
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya TBL, David Minja (kushoto) na Mkurugenzi wa Usambazaji wa kampuni hiyo, Nicholas Brooks, wakifurahia na kufungua vinywaji hivyo baada ya kuzindua kinywaji kipya cha kampuni hiyo cha Grand Malt, wakati wa uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam

Baadhi ya wageni waalikwa wakiburudika na vitafunwa.

Kikundi cha Bombeso kikitumbuiza jukwaani.

Wasanii wa kikundi cha Bombeso wakishambulia jukwaa wakati wa uzinduzi wa kinywaji kipya cha Grand Mult, kilichozinduliwa jijini Dar es Salaam jana usiku.
No comments:
Post a Comment