
Askari wa jiji wakiwa na miamvuli waliyowanyang'anya wafanyabiashara katika maeneo ya katikati ya jiji Posta Mpya leo, mgambo hao walionekana kana kwamba walikuwa wakitafuta wateja kutokana na jinsi walivyokuwa wameibeba miamvuli hiyo na kuongozana huku wakiwa bize.
No comments:
Post a Comment