*WABONGO WAPAGWA NA MIONDOKO YA KIDUKU TRAVERTINE MAGOMENI.
Mashabiki wa miondoko ya Taarab, wakisebeneka na miondoko hiyo, wakati wa onyesho la Jahazi Morden Taarab lililofanyika kwenye Ukumbi wa Travertine Magomeni juzi.
*JAMAA ABAHASHIA ALOWA SHATI, KIDUKU NOMA................
"Duh! hii minyonyo anavyoiachiaaaaaa, anadhani atanikamata nini".....
Mpiga Gitaa la Besi wa Kundi la Taarab la Jahazi, Thabiti Abdul, akiwachezesha mashabiki wake wakati wa onyesho hilo
*Kumbe hata mijibaba siku hizi hupenda miondoko ya Taarab, si unawacheki mabitozi hawa??
Mashabiki wa miondoko ya Taarab, wakisebeneka na miondoko hiyo, wakati wa onyesho la Jahazi Morden Taarab lililofanyika kwenye Ukumbi wa Travertine Magomeni juzi.
*tiGO WAPAGAWISHA DAR, WAZINDUA RASMI HUDUMA YA THUMNI NUSU SHILINGI
Umati wa wakazi wa jijini Dar es Salaam wakiwa katika tamasha la ‘Pasaka Beach Party’, lililokuwa maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa huduma mpya ya Tigo Thumni lililofanyika kwenye Ufukwe wa Coco Beach Dar es Salaam juzi
Msanii wa muziki wa Kizazi kipya, Mheshimiwa Temba, akiwapagawisha mashabiki wa miondoko hiyo, wakati wa Tamasha la ‘Pasaka Beach Party’ lililoambatana na uzinduzi wa huduma mpya ya Tigo Thumni, lililofanyika kwenye Ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es Salaam juzi.
*Kumbe hata mijibaba siku hizi hupenda miondoko ya Taarab, si unawacheki mabitozi hawa??
*tiGO WAPAGAWISHA DAR, WAZINDUA RASMI HUDUMA YA THUMNI NUSU SHILINGI
*TIMU YA NETIBOLI TANZANIA BARA YAENDA UINGEREZA KUWEKA KAMBI YA WIKI MBILI.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Netiboli Tanzania (CHANETA) Shy-Rose Bhanji (wapili kulia) na Katibu Mkuu Msaidizi wa Chama hicho, Rose Nkisi, wakiagana na Kocha wa timu ya Netiboli ya Tanzania Bara na Kocha wake, Mary Protase, iliyoondoka nchini jana kuelekea nchini Uingereza ambako itakaa kwa wiki mbili kwa ajili ya mazoezi na michezo kadhaa ya kujipima nguvu.
No comments:
Post a Comment