Dereva wa Guta akiwa chini ya uvungu wa guta laek lililosheheni mzigo, akitengeneza baada ya usafiri huo kumuharibikia akiwa katika barabara ya Nyerere eneo la Darajani jijini Dar es Salaam juzi.
Jamaa akiendelea na kazi ya kutengeneza guta lake chini ya uvungu wa guta lake.
*MVUA YAZUA JAMBO DAR, WATU WASONGAMANA WENGINE WAPOTEZA SIMU

Jamaa ambao hawakuweza kufahamika majina tao fasta, wakihaha kutafuta simu iliyotumbukiwa kwenye dimbwi la maji yaliyotuama na kujaa nje ya soko la Kariakoo Dar es Salaam kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini, ambapo baadhi ya maeneo yamejaa maji na kusababisha usumbufu kwa wakazi wanaosongamana ili kupita katika eneo moja lenye usalama na lisilo na maji wala matope.
*JE LUKUVI UNAWAONA MACHINGA HAWA AMA AU UNAWAOGOPA MBELE YA OFISI ZAKO?
*Wafanyabiasha wa nguo na vitu vya mkononi, maarufu kama 'Machinga' wakiwa wamezingira eneo la barabara ya Kawawa jijini Dar es Salaam nje ya ofisi za Mkuu wa Mko wakiwa wamepanga biashara zao na kuziba njia za waenda kwa miguu, jambo ambalo lilijaribu kufanikishwa na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa jiji hili, Abbas Kandolo,aliye fanikiwa kuwaondoa katika eneohilo, lakini kwa sasa machinga hao wamerejea kwa wingi katika eneo hilo.
*MWANAMAMA ATIMUA MBIO KUKWEPA KAMERA YA PAPARAZI DAR
Mwanamama ambaye hakuweza kufahamika jina lake, akikimbia na mtoto wake kukwepa kamera ya mwandishi mara baada ya kuona ikimlenga huku akiulizwa sababu zilizomfanya kukaa eneo hilo la Barabara ya Bibi Titi, Dar es Salaam na kuomba kwa wapiti njia hali ya kuwa hana ulemavu wowote
*MGAMBO WAMEZIDI KUWANYANYASA WAFANYABIASHARA WADOGO NA HASA WA VYAKULA, HUCHUKUA NA KUJISAPIA NAVYO.

No comments:
Post a Comment