Rais Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wanamichezo kutoka Ikulu ya Zanzibar pamoja na viongozi wao wakati walipotembelea Ikulu ya Dar es Salaam leo mchana. Picha na Freddy Maro
BAFANA BAFANA YAANZA VYEMA AFCON, YAICHAPA ANGOLA 2-1
-
TIMU ya Afrika Kusini imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya jirani zao,
Angola katika mchezo wa Kundi B Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika
(AFCON)...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment