Waumini wa Dini ya Kikristo katika Kanisa la Azania Front Dare Salaam, wakiigiza jinsi Yesu Kristo alivyoteswa msalabani, wakati wa Misa ya Ijumaa Kuu leo ambapo Yesu aliteswa siku kama ya leo.
Wakazi wa jijini Dar es Saklaam, wakiwa wamefurika kwenye mtaa wa Kongo kwa ajili ya kutafuta mahitaji mbalimbali, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Sikukuu ya Pasaka inayosherehekewa Duniani kote Kesho.
No comments:
Post a Comment